Kwa ubaguzi huu, serikali haitendi haki

Kwa ubaguzi huu, serikali haitendi haki

spacing

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
265
Reaction score
111
Kitendo cha kuajiri sector moja tu kla mwaka serikali haitendi haki.Just imagine,sector za kilimo,na afya serikali inaajiri watu wachache sana na kuacha wengine mtaani wakisota.Halafu eti mnakaa mnaimba majukwaan wajiajiri!!!! wajiajiri???? Kama ni kujiajiri si mgeanza kujiajiri ninyi wazee wetu mliotutangulia kusoma ili tuige mfano,???? Nyie wenyewe hamuwezi kujiajiri mmekalia rushwa tu maofisini.By the way tmechoka sasa ngoja tupande wote majukwaani tuone kama mtarud hko kula kodi za wananchi;eeeh hakuna namna nyingine,tmechoka sasa kubaguliwa three years mnaajiri walimu tu sector zngne mnachkua watu wenu tu.psuuuuu!!!!
 
Ila kilio chako ni cha kwel kiongoz,

huu ni ubaguzi wa hali ya juu,et kilimo kwanza!! wakati waliosomea kilimo wanapgka mtaani tu hamtaki kuajiri mnafisadi tu
 
wasira tunaomba maelezo ya kulidhisha kwanini vijana wanaomaliza vyuo vya kilimo hamuajiri kama sector ya elimu inavyofanya?
 
wasira tunaomba maelezo ya kulidhisha kwanini vijana wanaomaliza vyuo vya kilimo hamuajiri kama sector ya elimu inavyofanya?

kama kuvaa tu hafahamu atayafahamje matatizo ya vijana mwache amalizie kusinzia bungeni maana ndo mara ya mwisho kwake kula kodi za wananchi
 
af kuna tetes nazisikia et kuanzia mwakan hata hao waalimu watakua wanajitafutia ajira cjui ni kwel...
na kama kwel cjui watoto wa maskin tukimbilie wap kaaah...
 
Kitendo cha kuajiri sector moja tu kla mwaka serikali haitendi haki.Just imagine,sector za kilimo,na afya serikali inaajiri watu wachache sana na kuacha wengine mtaani wakisota.Halafu eti mnakaa mnaimba majukwaan wajiajiri!!!! wajiajiri???? Kama ni kujiajiri si mgeanza kujiajiri ninyi wazee wetu mliotutangulia kusoma ili tuige mfano,???? Nyie wenyewe hamuwezi kujiajiri mmekalia rushwa tu maofisini.By the way tmechoka sasa ngoja tupande wote majukwaani tuone kama mtarud hko kula kodi za wananchi;eeeh hakuna namna nyingine,tmechoka sasa kubaguliwa three years mnaajiri walimu tu sector zngne mnachkua watu wenu tu.psuuuuu!!!!

Ngoja tuwapigie tuone majibu yao mkuuu

Kazi nzuri zipo nyingi, tatizo watu hawana access ya uhakika.

Kuna hii android app, ukiwa nayo ni rahisi kupata latest jobs update in Tanzania.

Ingia playstore then search GRABJOB au tumia browser ya simu yako kufungua link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.grabcityinfo.grabjob

Ukishindwa ni PM nikupe details
 
af kuna tetes nazisikia et kuanzia mwakan hata hao waalimu watakua wanajitafutia ajira cjui ni kwel...
na kama kwel cjui watoto wa maskin tukimbilie wap kaaah...

Poleni siri bado hatujaifahamu.....Kazi nyingi Tanzania zinatolewa Kwa wanachama wa chama fulani cha siasa,kujuana,rushwa,ukabila hizo ndo sifa kuu za candidates ....baada ya hapo ndo tunajazia jazia nafasi zinazobaki kwa wale competent candidates....Zinaweza zitolewe hizo za kilimo na usipate vile vile.....Mtoto Wa masikini utaendelea kuitwa kijana taifa la kesho mpaka uzeeni
 
Back
Top Bottom