britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Yoo kwahiyo amutaki biriyoni nyiyeHiyo familia itusamehe kwani hata hizo namba ukizisevu tu kwako ni kosa la jinai. Hakuna aliye tiyari kuisaidia polisi akiwa Segerea
Kabisa hapo ndo unaweza kujiuliza kwanini nimetoa taarifa hizoUpo sahihi ,
Mi wala sijazisevuHiyo familia itusamehe kwani hata hizo namba ukizisevu tu kwako ni kosa la jinai. Hakuna aliye tiyari kuisaidia polisi akiwa Segerea
Naam neno iloWanapenda kutumia msemo wao ''Kuisaidia police''
HakikaUmeandika ukweli mtupu. Kuhusu jeshi letu la polisi. Hapo tu ndipo linapofeli jeshi letu.
Yan wewe hajui hapo taarifa zinaenda kwenye vyombo vya usalama na ulinziKwani taarifa unwapa polisi au familia
Uko sawaaaa kabisaTuwe wakweli ni mara ngapi tumeona watu wanakwepa kutoa taarifa muhimu polis kwa mfano unakuta mtu kafa bara barani unaangalia kushoto kama hujamuona vile,
Mara ngapi unakutana na bunduki imefichwa alafu unaipita kama umeona mti tu
Mara ngapi majirani wanavamiwa usiku tunaogopa kutoa ushirikiano??
Hii yote ni ile Sheria mbovu ya kulisaidia jeshi la polis , wanasomba tu,
Mfano kuna wengi huwa wanasakiziwa sana , unaenda kutoa taarifa unavulishwa viatu kuwekwa ndani,
Leo hii ukamuona dewji ukaenda kureport
1. Kwanza utaambiwa kwakuwa hela imetangazwa ndo ukaamua ureport hebu kuwa central unasaidia polis kidogo
2. Utaambiwa umepata pata vipi habari kwamba yuko upande huo, hapo mambo sasa ashaita waandishi wa habari kwamba tumempata mtekaji, usiombee ukamatwe n.a. Yule wa dodoma utapata tabu sana
Hivo usishangae hiyo bilion yako serikali inataka income tax asilimia kadhaa huku umewasaidia kazi yao,
Aisee mi ntarudi bongo kuazia mwaka 2030
Hivi hivi mkuuAsante mkuu kwa kutushtua kumbe mtu unaweza ingia mkenge
Aise JfKangi hawezi kukubali ujinyakulie pesa ndefu kiasi hicho, lazima akupige zengwe.
Hatari kabisaUko sawaaaa kabisa