Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Tuwe wakweli ni mara ngapi tumeona watu wanakwepa kutoa taarifa muhimu polis kwa mfano unakuta mtu kafa bara barani unaangalia kushoto kama hujamuona vile,
Mara ngapi unakutana na bunduki imefichwa alafu unaipita kama umeona mti tu
Mara ngapi majirani wanavamiwa usiku tunaogopa kutoa ushirikiano??

Hii yote ni ile Sheria mbovu ya kulisaidia jeshi la polis , wanasomba tu,

Mfano kuna wengi huwa wanasakiziwa sana , unaenda kutoa taarifa unavulishwa viatu kuwekwa ndani,

Leo hii ukamuona dewji ukaenda kureport
1. Kwanza utaambiwa kwakuwa hela imetangazwa ndo ukaamua ureport hebu kuwa central unasaidia polis kidogo

2. Utaambiwa umepata pata vipi habari kwamba yuko upande huo, hapo mambo sasa ashaita waandishi wa habari kwamba tumempata mtekaji, usiombee ukamatwe n.a. Yule wa dodoma utapata tabu sana

Hivo usishangae hiyo bilion yako serikali inataka income tax asilimia kadhaa huku umewasaidia kazi yao,

Aisee mi ntarudi bongo kuazia mwaka 2030
 
Acha uwongo na wewe walahi
Wanaume wako kazini
29A074E9-F91E-480B-A082-A3FB2554CA39.jpeg
 
Uko sawaaaa kabisa
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom