Haya maneno yakujifariji sijui hua mnayatoa wapi, hata mondi kapitia kwa watu bt alipotoka hakuwahi kushuka bali alipanda zaidi hivo kusema anatengeneza fanbase ni kujidanganya bure.Harmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
tupe na wewe views zako ili tukulinganishe na harmonize..haya maneno yakujifariji sijui hua mnayatoa wapi, hata mondi kapitia kwa watu bt alipotoka hakuwahi kushuka bali alipanda zaidi hivo kusema anatengeneza fanbase ni kujidanganya bure.
Wewe umetumia ubongo mwenzako katumia ulevi hana vision, amebaki tu kusema harmonize ame drop kimzikiHarmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
hapa salam kafikaje dogo konde?Salam Sk umeona ukimpa konde boy mkono wako kama vile atafaidika sana
hata mondi kapita kwa watu na alipotoka hakudrop bt alipanda hivo acheni kumpotosha harmo mnampoteza zaidiWewe umetumia ubongo mwenzako katumia ulevi hana vision, amebaki tu kusema harmonize ame drop kimziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hata Mh mbunge mtarajiwa aliwahi kufanya hivo kwenye msiba wa Masogange!Salam Sk umeona ukimpa konde boy mkono wako kama vile atafaidika sana
kuupindisha ukweli kamwe hakutowahi msaidia harmo, njia pekee itakayomfaa ni kuambiwa ukweli.Kwenye Maisha Ivyo V2 Vyoote Vipo Kupanda Na Kushuka Kwa views Kwa Harmonize Kulinganisha Na Zuchu Haina Maana Zuchu Ndo Akawa Msanii Mkubwa Kuriko Harmonize Ila Hapo Ni Chuki Na Kasumba Tu Ilyoingia. Kama Unaweza Kumshauri Basi Mshauri Uyo Zuchu Atoke Wcb Muone Kama Ntapata Views Ata 6
Sure atajikuta anazidiwa views na kama mama yake atatoa taarabu mpyaKama Unaweza Kumshauri Basi Mshauri Uyo Zuchu Atoke Wcb Muone Kama Ntapata Views Ata 6
mkuu tungejikita kumshauri konde ili asizidi kudrop, mbona zamani youtube alifanya vizuri je kwa sasa anakwama wapi?Washamba wengi mmekariri you tube.
Hao wasanii uliowataja hapo wote wana platforms zaid ya 12 tofauti na you tube watu wanastream online.
Rudi kafanye research upya kwenye all more than 12 platform ulete tena mrejesho hapa.
Fanya assignment niliyokupa, nenda kakague online platform zote zaidi ya 12 usiifanye tafiti uchwara.mkuu tungejikita kumshauri konde ili asizidi kudrop, mbona zamani youtube alifanya vizuri je kwa sasa anakwama wapi?
Umemaliza kila kitu.. Na huo ndo ukweliHarmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
Mwambie huyo mleta uzi, naona hana visionhata mondi kapita kwa watu na alipotoka hakudrop bt alipanda hivo acheni kumpotosha harmo mnampoteza zaidi