tabia kubwa walio nao walimu ni kuogopa kuthubutu, inakuwaje walimu wanashindwa kuungana watano wakachanga hata kila mwezi elfu hamsini hamsini kama kwa miezi mitano mwaka hata zaidi ili kupatamtaji afu wakafanya mradi kwa pamoja mfano mradi wa kilimo,maana serikali ishawasau....badala yake kila mwalimu yupo kivyake vyake,tufunguke walimu joint company zina faida kubwa
Thread yako ipo general zaidi bila kuonesha uhalisia.mimi nina ushahidi na walimu wanaofanya ulicho kisema tena kwa zaidi ya kiwango ulicho taja,fanya utafiti kwanza
vidole havilingani pia akili za watu baadhi hazihitaji mabadiliko ikiwemo zao hao walimu mimi pia nipo kijijini mkuu na ushahidi wa walimu hao ni wakijijini pia.jitahidi kuwaelimisha tu mkuu watakuelewai might be too general lakini hilo limekuwa tatizo, wanaoweza kufanya ivo ni wale wa mijini tu, ukija country side hali ni tete sana mi nina mwaka wa tano ktk fani hii lakini every time ninapo pose wazo hili kwa wenzangu linakwama
Kaka kama umekuwa na miaka mitano kwenye ualimu na umeshindwa kuwashawishi wenzako kuungana ni uzembe wako, kijiji kuna fursa nyingi pengine kuliko hata mjini. Kuna mikopo benki kopa then lima maana huko ardi ni bure hata km utaambiwe ukodi ni kwa gharama ndogo.Acheni kuona kada ya ualimu ndo haina mishahara kuliko wengine bana. Tumia akili yako kujiongezea kipato mwingine kama hayuko interested na wazo lako fanya kivyako.i might be too general lakini hilo limekuwa tatizo, wanaoweza kufanya ivo ni wale wa mijini tu, ukija country side hali ni tete sana mi nina mwaka wa tano ktk fani hii lakini every time ninapo pose wazo hili kwa wenzangu linakwama
Una uhakika walimu hawana mwamko wa kujichangia na kusaidiana? kuidai serikali yao ni lzm na si hiyari isitoshe si walimu wote wenye hali duni wapo wenye maisha safi na hawana hata mda wa kupigana na serikali akili kicwani mwako wangapi wana mishahara safi lkn hakuna la maana wanalolifanya kujikomboa kimaisha.
i might be too general lakini hilo limekuwa tatizo, wanaoweza kufanya ivo ni wale wa mijini tu, ukija country side hali ni tete sana mi nina mwaka wa tano ktk fani hii lakini every time ninapo pose wazo hili kwa wenzangu linakwama