Kwana we na TemboCard, pili kabati la mbeho, tatu awe na mkoko wa haja kama wa huyu jirani yangu hapa nee nikisema atachanganyikiwa!! ngoja niishie hapa!!!!!!!
njooo jf party jumamosi hiii tinga suti ya ukweli uwe na wallet iliyonona tena uwe unaongea points tu lazima utampata akufaaaaye lakini usitudanganye una salary ya 2.million na wakati hata jf party umeshindwa kulipia
njooo jf party jumamosi
hiii tinga suti ya ukweli uwe na wallet iliyonona tena uwe unaongea
points tu lazima utampata akufaaaaye lakini usitudanganye una salary ya
2.million na wakati hata jf party umeshindwa kulipia
asanteni sana jamani nimefanikiwa kumpata...humuhumu jf na tumeshaanza kuwasiliana kwa simu....asanteni mno...ni urafiki kwanza, tukielewana vzr basi nachukua jumla.