Kwa sasa lazima watwangane tu yetu macho

Kwa sasa lazima watwangane tu yetu macho

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,316
Reaction score
7,138
Habari wandugu

Tunasubiri operation ya jeshi la Syria wiki hii pale Idlib katika ngome iliyobaki ya Syrian rebel ambapo waasi wamepanga matanki ya gesi ya sumu ktk majengo yao ili jeshi la anga la Syria litakapoanza kupiga mabomu iwe sababu kuwa wametumia sumu ktk operaion yao.

US mbabe wa dunia tayari ameshaandaa Destroyer yake atoe adhabu kwa Syria lakini safari hii naona patachimbika sababu Urusi mbabe wa vita tayari ameshajianda kwa lolote lile. US wanaepuka sana ktk target zao kupiga sehemu ambapo askari wa Urusi wapo ambao ndio washauri wa kivita kwa jeshi la Syria.

Safari hii lazima watakosea ndipo mchezo UTAKAPOANZIA
 
Mzaha mzaha hutumbua usaha!
 
Watwangane tu tuone nani mmbabe

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Kumekucha
Screenshot_20180830-154652.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom