Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,730
- 1,569
Kwanza nianze kwa kusema kuwa naunga mkono kitendo cha kuendelea kuwafunga wapinzani.
Hii ndiyo njia pekee iliyobaki kuwajengea wapinzani wa serikali ujasiri na ukomavu na kujiamini. Mapambano mengi yamekuwa yakikwama kwa sababu ya hofu ya kukamatwa na polisi na kufungwa, mfano halisi ni kushindwa kwa operesheni UKUTA.
Naamini baada ya kutoka mahabusu, wapinzani watakuwa na ujasiri na uthubutu wa kupambana ili kudai haki za wananchi.
Lissu ameshapata uzoefu huo na naamini Lema atakuwa mbogo kuanzia sasa baada ya kutoka lumqnde. Na hata moto atakao uwasha bungeni na nje utakuwa wa maana sana.
Serikali wakamateni zaidi muwafunge maana naamini ndiyo njia pekee mliyobaki nayo. Kwingine kwote hamwawezi. Kamata Mbowe, Zitto, Mnyika, Kubenea,... tia ndani.