M mkingaman New Member Joined Jul 25, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Jul 27, 2018 #1 Kwamaeneo ya same soko la tangawizi liko wapi na bei gan?
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Jul 27, 2018 #2 Subir watakuja wenye kujua
M mkingaman New Member Joined Jul 25, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Jul 27, 2018 Thread starter #3 KUCH KUCH said: Subir watakuja wenye kujua Click to expand... Sijawaona hadi leoo mkuu
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,882 Reaction score 5,087 Jul 27, 2018 #4 Naona Wapare wamethepa.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,481 Reaction score 138,346 Jul 28, 2018 #5 Tangawizi nyingi sahvi ililimwa sehemu za songea na walikuwa wanategemea kuvuna kwa wingi Ova
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,728 Reaction score 5,670 Jul 28, 2018 #6 mrangi said: Tangawizi nyingi sahvi ililimwa sehemu za songea na walikuwa wanategemea kuvuna kwa wingi Ova Click to expand... Yeah niliona madaba,nilishangaa kupata tangawizi kifuko kizima(mifuko laini) kwa Tsh 1000,nilizoea kupata 2 kwa hiyo 1000
mrangi said: Tangawizi nyingi sahvi ililimwa sehemu za songea na walikuwa wanategemea kuvuna kwa wingi Ova Click to expand... Yeah niliona madaba,nilishangaa kupata tangawizi kifuko kizima(mifuko laini) kwa Tsh 1000,nilizoea kupata 2 kwa hiyo 1000
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,481 Reaction score 138,346 Jul 28, 2018 #7 Kertel said: Yeah niliona madaba,nilishangaa kupata tangawizi kifuko kizima(mifuko laini) kwa Tsh 1000,nilizoea kupata 2 kwa hiyo 1000 Click to expand... Sahivi wamelima kwa wingi sema soko sasa Ova
Kertel said: Yeah niliona madaba,nilishangaa kupata tangawizi kifuko kizima(mifuko laini) kwa Tsh 1000,nilizoea kupata 2 kwa hiyo 1000 Click to expand... Sahivi wamelima kwa wingi sema soko sasa Ova
Mr dark light JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 298 Reaction score 253 Jul 28, 2018 #8 mkingaman said: Kwamaeneo ya same soko la tangawizi liko wapi na bei gan? Click to expand... Kausha saga unga wa tangawizi
mkingaman said: Kwamaeneo ya same soko la tangawizi liko wapi na bei gan? Click to expand... Kausha saga unga wa tangawizi