Kwa Sajini na Konstebo Zimamoto

ERICK YUSTO

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
207
Reaction score
51
Kama unajua ulikimbia somo la chemistry secondary kwenye usaili kazi unayo.
 
Kama unajua ulikimbia somo la chemistry secondary kwenye usaili kazi unayo.

kazi anayo kwamba ameajiriwa ama vipi?

btw, ni ujinga kutoa habari isiyojitosheleza.. kwani ungeeleza kiundani hasa unachomaanisha ingekugharimu nini??

next time, take time to think before you post, apply this even in your daily life.

otherwise, umeongea kebehi mbele ya watu wenye hasira..
 
Acha hasira kiongozi,ungemwambia anamaanisha nini?BT KUMBUKA KAZI ZA MKAGUZI,SAJINI NA KONSTEBO,ZINATOFAUTIANA,HIVYO HATA MASWALI YANATOFAUTIANA KWA KIASI KIKUBWA.CHA MSINGI NI KUJIAMINI.
 
sikiliza bwana mdogo usiwe unapanic vitu vidogo.wenye hekima huwa wanakuwa wadadisi wewe huwezi kuwa mtu wa usalama kama utakuwa unapanic kiasi hiki.hiyo post imejitosheleza sana kwa anayejua vizuri mambo ya moto ila kwa kuwa wewe ni m1 wapo wasiotumia busara kwenye kutafuta mambo utakosa vitu vingi sana..penda kuuliza kwanza sio unacomment kwa sabb una bundle.mfano ungeuliza.."kazi wanayo kivipi kaka naomba ufafanuzi"ingekuwa like discussion na ungepata mengi.kumbuka kwenye sio lazima kila kitu kiwe wazi mafanikio huwa ni siri..
 
kaka ludovik hongera kwa kuwa muelewa na kuwa na hekima katika hilo..najua umeitwa kwenye usaili siku sio nyingi lakini napenda kukwambia kuwa maswali ya sajini na konstable yanabase sana katika chemistry ya darasani na unatakiwa uyafahamu vizr.mengne yanatoka katika profesion ya zimamoto.kwaiyo kujiamini pekee haitoshi ila uwe na contents kichwani.nimeyaangalia nikasikitika sana na ndo maana nikatoa iyo post ni kuumizana tu.
 
yote heri weng arts bas tutapitia maana ya fre na fire extnguisher,kaz ipo kwenye chemikal mixng
 
Mkuy Yusto mimi nakuunga mkono 100% kuwa maswali mengi yatakuwa yanabase katika masomo tajwa hapo juu. Hii ni kwa kutambua kuwa suala la moto ni la kiusalama zaidi so hii ni science oriented.

Kama vp ni pm.
 
Last edited by a moderator:
kaka steang upo sahihi ndo mana nimesema lazima uwe na uwelewa na somo la kemia.by the way cjaona swali linalouliza wat is fire ila kuna maswali yanayohitaji maelezo ya kina.kiukweli nilijiuliza kama ni fair kuuliza maswali yale huku yakiwa kama yanahitaji upelekwe darasani kwanza.sio maswali ya kuamka asubuhi na kunywa chai na kuamkia kwenye interview.
 
kaka majitta umenena vyema kwanza nakuapprecite kwa kuwa na uelewa mpana katika hili..kabla cjakupm ningependa kujua suala moja.je uliapply zimamoto,na kama ndio je ni kwa nafasi gan na umefanikiwa kuitwa kwenye usaili.
 
Mbona mi sikuulizwa hayo maswali ya kemia?
 
mr.kende..cna maana utaulizwa maswali ya kemia mana iyo interview co ya ualimu.nadhani hujaelewa vizuri post.ni kwamba maswali ya sasa yatabase sana katika somo la chemistry in relation na moto ambayo yanahitaji uelewa mpana sana wa hili somo..kwa iyo wanandugu kama chemistry inasumbua tutafutane tupeane ujuzi kidogo
 
jamani nisaidieni kuangalia majina haya AVELIN KALIPEN na GRAYSON MSOVELA.
 
Mkuy Yusto mimi nakuunga mkono 100% kuwa maswali mengi yatakuwa yanabase katika masomo tajwa hapo juu. Hii ni kwa kutambua kuwa suala la moto ni la kiusalama zaidi so hii ni science oriented.

Kama vp ni pm.

mkuu mm nimeitwa kwenye constebo na miongoni mwa watu wanaotegemea kuwekwa kikaangoni soon.
 
Last edited by a moderator:

Kama hutojali mkuu unaweza kututajia hata maswali Matano waliyoulzwa wenzetu??
 
sawa mkuu majita hongera sana kwa kufanikiwa katika hatua iyo ni nusu ya mafanikio.nimekupm kaka au nickek 0769747131
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…