Kwa nje ni mzuri sana

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,111
Huyu Binti sikutegemea Angekuwa hivi.Ni msafi amejaliwa sura umbo chuchu embe dodo na ananukia.

Lakini huo ni uzuri wake wa nje tu ndani yake ni shetani mkubwa ana roho Mbaya na maneno machafu Sana.

#Ni mzuri wa nje
# Lakini ni shetani ndani yake
# Nje msafi Sana
# Ndani ya moyo wake ni Giza na uchafu mtupu
# Kumbe alitaka tu kutumia Hela zangu na kuniacha Solemba
 
We jamaa Fala kweli , binti wa namna hyo tegemea heavy battle na wenye verosa , ni uvumilivu wako tuu ndo utakufanya umweke kwenye himaya yako, kitu kizuri ni gharama kukipata, kama huwezi kubattle nakushauri go to the cheap one
 
Kuna sehemu labda ulikosea, impression ya kwanza utakayomwonyesha mwanamke ndo hivyohivyo atakuchukulia, ukitumia pesa kumtongoza, siku ukizikosa tegemea shutma, ukitumia akili na pesa sio nyingi pamoja na kumnyima attention (kuonyesha hutaki mbususu au huna haja nayo), matusi yatakuwa machache na hapo heshima inakuja.
Huyo demu unamuita shetani Kwa ndani ila nachokiona anakudharau since day one ila wewe inawezekana umekuja kugundua baadaye sana.
 
Hongera kwa kuepuka mtego
 
We jamaa Fala kweli , binti wa namna hyo tegemea heavy battle na wenye verosa , ni uvumilivu wako tuu ndo utakufanya umweke kwenye himaya yako, kitu kizuri ni gharama kukipata, kama huwezi kubattle nakushauri go to the cheap one
Battle hili mbona rahisi ila aki-act kama playboy ila ukiwa-act kama nice guy, aisee hakuna rangi utaiacha kuiona tena ukiwa nice boy mpaka kitandani umeisha.
Mwanamke huwazq kuwa na nice guy ikiwa yule high value man aliyemtegemea kam-dump so hapa ndo utasikia nataka mwanaume mnyenyekevu sijui anaemuogopa Mungu, huwa nacheka sana maana yeye mwenyewe hamuogopi anadhani Mungu atampa mtumishi amuoe?
Wengi wanaishia kuwa single mothers na feminists.
 
Heee,si single mother tu ndo wenye tabia chafu????
 
Punguza stress mkuu
 
Wako wengi sana wa hivyo siku hizi.

Wamejaa kiburi na majivuno huwjapata kuona!
 
Binti wa hivyo kula halaf sepa unategemea nini hapa mjini

Hivi jamaa kisema yupo tayar kumnunulia range we utaweza??

Vijana nawashangaa na ndoto zenu zakutaka kuijaza bahari kifusi

Demu mkali haikewi malengo ni hit and run
 
Umefirisika?
Demu wangu aliniacha baada ya mi kuuza gari.

Siku nakuja muona anachukuliwa sehemu na Crown. Sio mara moja, mara kadhaa.

Nikajua hapa dawa ni kutafuta hela.
 
Umefirisika?
Demu wangu aliniacha baada ya mi kuuza gari.

Siku nakuja muona anachukuliwa sehemu na Crown. Sio mara moja, mara kadhaa.

Nikajua hapa dawa ni kutafuta hela.
Cha ajabu Bado nampenda Sana pamoja na roho yake chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…