Tatizo linaanzia kwenye mwanzo wa mahusiano. Washkaji kuweni makini ktk kuanzisha mahusiano, kwanza fanya uchunguzi wa kina kujua tabia na hulka ya huyo unae taka kuanzisha nae mahusiano, ukiridhika lianzishe. Ukiona unachelewa kufanya uchunguzi utaingizwa mjini mana vicheche ni vingi cku hizi mazee