Tanzania ,serikali, wananchi tunabadilisha tu huo msamiati baada ya kusema sisi pia ni omba omba tunasema tunatafuta wafadhili, kwa hiyo sote ni ombaomba , yawezekana wao wametuzidi tu.
Halafu hili jina walibadilishe, wagogo,mgogo, kigogo, vigogo…utegemee nini kutokana na mlinganisho huu, kigogo cha mwembe, kigogo cha mnazi…..