Kwa nini hujalala?
1, Uko baa
2, Ni mlinzi
3, Hujaoa au hujaoelewa
4, Ni changudoa
5, Umeenda kuchepuka
6, Unachati na mchepuko wako au mkeo,
7, Unajisomea
9, Unaumwa
Naomba tujitokeze bila kuficha, ni kwa nini hadi sasa hivi hujalala? unafanyaje.
wengi mtakibilia namba 7 na 9 lakini ukweli utambaki pale pale.
Sasa hivi ni saa 00:04