Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 599
Tunavaa kwa ajili ya aibu hivyo tunajisitiri tusibaki uchiWanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Hahahaaaa1. Lengo LA kuvaa condom machoni, ni ili kujinginga na upepo mkali na kuzuilia vumbi lisiingie Machoni lakini pia hutumika kupunguza Mwanga wa jua.
2. Unatakiwa kuvaa pale unapoona umekutana ns MTU unamsalimia halafu haitikii utadhani hajakuona.
Mkuu agiza soda waambie waandike kwenye daftari nitalipaUkivaa condom ukapiga na mkanda mweusi halafu chini kiatu safi cheusi daaaahh
[HASHTAG]#kondomu[/HASHTAG] ina maana unajamiiana na mtu usiepaswa kufanya naye ama kama na mkeo ni tarehe usizopaswa kumjamii
Ni makosa na ni DHAMBI.
Tembelea ringi tu mkuu
Acha kuvaa condoms ili ushindwe kuendesha NOAH yako sitakagi ujingaWanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
hahahahhaahaaAcha kuvaa condoms ili ushindwe kuendesha NOAH yako sitakagi ujinga
Rudi hapo wanapouza halafu ujaribu kuuliza hivi hizi dawa tinameza ngapi mara ngapi? Utapewa jibu zuri..Wanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Ujaeleweka,swali lako,tuna vaa kwa kutumia mikono,Wanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Mkuu agiza soda waambie waandike kwenye daftari nitalipa
Hahahaaa mwambia nitalipa mwakani pamoja na riba mkuuNachukua balimi mkuu Mangi nimemwambia utalipa. Japokua muda wa kazi nikidakwa na mamwela njoo untoe Central
Situmii soda. Soda ni inakaribisha nyuki