Kwa nini Tanzania hadi sasa haijajitegemea kwa Budget?

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
3,344
2,534
Makosa makubwa yalifanywa na Rais Benjamini Mkapa na team yake ya wakati huo hadi kwa JK.

Kitendo cha kukubali Nchi ipate asilimia 3 ya Mrahaba kwenye madini kilikuwa ni kosa kubwa sana lisilosameheka kamwe na hii ni kukosa uzalendo na nchi yako.

Nchi kama Botswana inachukua asilimia 40 na mwekezaji asilimia 60, lakini, ni sharti mwekezaji wa nje atafute mbia wa ndani ili wawekeze wote kwenye madini hayo. sababu hii, imesababisha kwa kiasi kikubwa Nchi isijitegemee kwani kiasi kikubwa cha fedha kinakwenda nje kujenga nchi za wengine.

Pili::: Ni Ufisadi, Rushwa, hii ni sababu ya pili kubwa ambayo imesababisha nchi isijitegemee, lazima sasa tufikie hatua tunyonge watu kama hawa.
 
Back
Top Bottom