Kwa nini siasa za tz na afrika kwa jumla c za kidemokrasia?

FAU86

Member
Apr 19, 2013
63
15
Ukifatilia sana unaweza ukataman kuhama au kukimbia nchi labda kutokana na hali ya uchum mbaya tulonao ndo maana tumekomaa hapa hapa kama vile hatujaona lakin kumbe madonda yamejaa kwa moyo

Ni Lin siasa hzo zsizo Jali utu wala uhai wa watu wake zitapungua au kukoma tz/afrika?

Mambo haya tuliyazoea kusikia afaghnstan, Yemen huko syria labda na somalia Leo Hi tz tunalazmika kuyazoea kulikon?

Siasa za kuuana, kuchomana na kuviziana zimetoka WAP

Eee nyerere ndivo HVO ulivotuachia kuyaendleza yako mema kweli?
Mambo haya maanake ni nin au mfumo wa vyama vingi ndio tatizo ? na ni kwa nin Iwe afrika au tz tu mbona ulaya na marekan mambo hata c kwa kias HK?

Nkuruma na Mandela mnanisikia? Mambo haya Manake nin ?
HV ni sahih MTU anashambuliwa kwa mapanga kana kwamba hawajui huyo MTU..... Hata wanaochinja n'gombe wanaaibu lakin c hali tulofikia wa tz kulikon?

Leo Hi Zanzibar kumechafuka kweli kiongoz mkuu wa nchi unadiriki kusema sihusiki kwan sheria haikuruhusu......mmekubalije kuwa wasuluhish mgogoro wa burund?

Hata Mke na mume wa jiran wanapogombana ili hali tu mmojawapo kapga kelele ya kutaka msaada tunakwenda mpaka chumban iweje sebulen?

Ni mambo ya ajabu tena yakushangaza na kuogofya nchi ilokua na sifa njema na nzuri Leo kugeuka kisiwa cha vita na uhasama?

Nyerere naomba upokee simu yangu.... Tumechoka na hali ya viongoz ulowaacha mambo gan haya
WA TZ TUFANYAJE ILI KUPUNGUZA AU KUONDOA UHASAMA NA MAUAJ KATIKA SIASA ZA TZ/AFRIKA?
 
Nyerere alikiasa chama chake kwamba yale mazuri yafuateni,mabaya yaacheni aende nayo,Chama Chake Pendwa kimechukua Maovu yake kimezika mazuri yake.

Watanzania tulikuwa tunashirikiana kwa kila nyanja bila kujali Ukanda ua dini zetu.Hata alipoanzisha vyama vingi bado hatukuchukiana kwa kiasi tunachokiona leo.Wengi tulikuwa hatuelewi lakini hakuna mahali Mpinzani aliitwa Lofa,Mpumbavu,hovyo au Nyumbu.

Leo tumegawanywa kama kuku waendao sokoni,huko kuna atakyepikwa supu,pilau,au kukaangwa.Jamani sisi watanzania sote ni sawa.

Watawala msitujengee chuki na uhasama.Vyama vya siasa viko kulingana na Katiba na sheria ya nchi
 
Back
Top Bottom