The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,081
- 14,117
Waswahili wana msemo “Ukitaka Kuua Nyani Usimwangalie Usoni.”
Kwa muda sasa Rais Magufuli amekuwa akiendelea na kazi yake ya kuisafisha serikali na kupanga safu yake mpya. Kwenye hii process kuna ambao tingatinga limewapitia na sasa wako vijiweni au wanasubiri kupangiwa ofisi mpya.
Kutokana na report nyingi za vyombo vya habari na kupitia live kwenye television tumeona watu wakipoteza kazi zao bila hata wao kuwa na habari. Kuna ambao wamefukuzwa wakiwa wanaendelea na kazi zao, mfano mzuri ni Anna Malecela, Kabwe, Kairuki etc!
Kwa kawaida teuzi nzuri huwa zinafanywa kwa kumuhusisha mteuliwa. Yaani unamuita mteuliwa au unampa Mteuliwa dhamira yako ya kumteaua . Mteuliwa ana haki ya kukubali au kukataa kabla ya kumtangaza. Pia kama unataka kumuondoa nategemea pia Mteule amuite Mteuliwa na kumweleza dhamira yake ya kumtoa ........ hapa nafikiri Mteuliwa hana options zaidi ya kutoa utetezi wake kama kuna hujuma au makosa nyuma yake.
Anyway, swali langu ni “Kwa nini Rais ameamua kwafukuza watendaji wake tena wa ngazi za juu bila kuwapa taarifa au kukutana nao!! Anaogopa kuua nyani huku akimwangalia Usoni au anafikiri wataharibu ushahidi iwapo watajua wanaondolewa!!?
Najaribu kuangalia the logic behind this ......... Msaada kwenye tuta!!