Kwa nini pia nafasi za internship hamna

Kwa nini pia nafasi za internship hamna

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
Wanajamvi habari zenu, mimi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtu unaomba hata zile nafasi za internship katika ofisi au kampuni mbalimbal wananyima, hivi hizi post nazo hamna au ni urasimu tu?

Nawasilisha
 
Haaaah!! Kuna sehemu nilienda kuomba,,nikaambiwa nenda kwa mtu flani..hii ni baada ya kutuma mara 2. Mara ya. Kwanza waliniambia ni overstaffed..bt wangeniweka wakati ujao..that was 2011, then nikaomba 2013, nikajibiwa the same answer..baadae nikaambiwa nicheki na mtu flani mkubwa wa hiyo organization. So sikujisumbua..nw nafanya yangu,
 
Na kuna watu nawajua na hawana qualification km zangu..bt ndo hivyo..life goes on mkuu. Huo ndo uzoefu wangu.
 
kwa kwel mkuu ni changamoto kwetu Mungu tu aingilie kati tunanyanyasika sana maofisini sab.cjui n ipi.
 
Yaaani ni shida.hata mie yamenikuta natafuta kwenye law firm hata kujitolea ili nijifunze kazi lakini hakuna anaenijua siitwi naambiwa a cha CV yako.
 
Inabidi ufuatiliaji wa kuomba hizo nafasi huanze hata miezi mitatu hadi minne kabla ya mda uliopangwa.
 
Back
Top Bottom