Kwa nini Nkurunzinza ahukumiwe?

Kwa nini Nkurunzinza ahukumiwe?

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,358
Reaction score
5,843
Kuna habari kwamba Raisi Nkurunzinza wa Burundi amefunguliwa mashitaka katika mahakama ya umoja wa nchi za Afrika mashariki (Arusha).swali langu ni kwa nini maraisi wengine wa umoja wa Afrika mashariki waliotawala nchi zao zaidi ya miaka kumi wasifunguliwe mashitaka?au kwa kuwa Burundi ni taifa lisilokuwa na nguvu ukanda huu ?
 
Pengne kwa kuwa hawa wengne wametawala mda mrefu hadi kufkia hatua ya kubadil katiba yao kwa kuwashrksha wananchi na wakakubali. Lakini ktk hilo wawe makin kwan wanaweza kumpenda rais wa sasa hadi kubadil katba na then baadae kaja rais wa hovyo kasimamia katiba hyohyo na kutaka aongoze muda mwingi mwisho ikaleta vurugu kwani rais walompenda hadi wakabadili katiba hawezi kuishi milele kwenye kiti hicho.
 
Sababu ni kwamba Nkurunzinza aliingia kwenye urais kwa mkataba wa amani, sasa huyohuyo ndiyo tena anataka kurudisha nyuma ali ya kisiasa nchini humo. Kumbuka madhara yake yanakuwa ni kwa east afrika nzima, na hasa Tanzania na Rwanda zinapokea wakimbizi wengi. Wakimbizi kulingana na makabila yaliyoko Burundi ambayo ni Watusi na Wahutu hivyo wakimbizi wa kitusi wanaelekea Rwanda na wahutu wanakuja Tanzania hasa mkoani Kigoma kwa wahutu wenzao au ACT.
 
we ni kilaza kabisa.
 
hata wahutu ni binadam mkuu
 
Aliyesema kigoma wahutu anapigwa mashine mbele na nyuma hata kama unauume ila unapigwa mbele tako mkubwa.
 
Back
Top Bottom