Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,264
- 542
wale me nawaonaga kama ni ma MBWA ,mbwa tena mbwa koko yani wananikelaga hawajui utandawaz umewahalibu mbwa hawa wameshikiliwa akili na web me hakuna m2 namheshim kama m/ke anayejiheshimu yani akivaa nguo za kumstiri yani hadi napenda(like not love) sasa ma mbwa makubwa ni wanaume ambao wanamiliki hii mi mbwa eti unakua na dem kavaa ki mbwa mbwa we ndo unafuraaah na kujicfia wazaz wao ndo majibwa wakubwa
Daaaah Leo umewatutolea uvivu, tubadilike jamani, japo Mie sipogo
Hahahah hapana miss neddy am behaving well
Ahaaa, am just a simple model, blessed somehow, miss
Huu Uzi ungeletwa na mwanaume pangechimbika hapa.....angeshambuliwa mtoa mada badala ya ujumbe wake
Mie sina tatizo na wanaovaa nguo fupi so long it covers the essential parts.
Ila an interesting thing ni pale unapokutana na mdada aliyevaa nguo fupi halafu ukimwangalia anajaribu kuivuta nguo yake chini wakati hata haivutiki.
Hapo nabaki na-smile tuu na yeye akinishtukia ana-smile back, so message delivered.
Hahah you are killing them softly.....
Raha ya nguo ni uwe comfortable nayo