R Red-me JF-Expert Member Joined Jun 26, 2026 Posts 365 Reaction score 689 Jul 4, 2026 #1 Yesu alisema msinilie mimi jililieni pamoja na wanao.ni kwel kuwa marehemu amemaliza mwendo sisi tuliopo ndoh tuna kazi.
Yesu alisema msinilie mimi jililieni pamoja na wanao.ni kwel kuwa marehemu amemaliza mwendo sisi tuliopo ndoh tuna kazi.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,258 Reaction score 163,880 Jul 4, 2026 #2 Sembuse ndugu na marafiki walioshibana wakisafiri na kutengana watu wanalia , ndio hiyo ya kufa na kufutika moja kwa moja mkuu?
Sembuse ndugu na marafiki walioshibana wakisafiri na kutengana watu wanalia , ndio hiyo ya kufa na kufutika moja kwa moja mkuu?
Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,909 Reaction score 3,726 Jul 4, 2026 #3 unafik tu hamna kitu
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,004 Reaction score 2,176 Jul 4, 2026 #4 Yohana 11:35 [35]Yesu akalia machozi. Mstari mfupi kuliko yote katika biblia, unatueleza kwamba Yesu alipofika kwenye kaburi la Lazaro alilia. Kama Yesu alilia mimi ni nani nisilie 😳, ukifiwa kisawa sawa utaelewa.
Yohana 11:35 [35]Yesu akalia machozi. Mstari mfupi kuliko yote katika biblia, unatueleza kwamba Yesu alipofika kwenye kaburi la Lazaro alilia. Kama Yesu alilia mimi ni nani nisilie 😳, ukifiwa kisawa sawa utaelewa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,285 Reaction score 193,268 Jul 6, 2026 #5 Inapaswa mlii siku ya mtoto anapozaliwa, na mfurahie siku anapofairiki... Dunia ni tambara bovu, dunia ni lukumba lukumba, dunia ina mambo... Cc: Mahondaw
Inapaswa mlii siku ya mtoto anapozaliwa, na mfurahie siku anapofairiki... Dunia ni tambara bovu, dunia ni lukumba lukumba, dunia ina mambo... Cc: Mahondaw