Kwa nini magari mengi yana rangi ya silver?

nimegundua una matani ya kijinga
 
Nadhani kuna rangi ambazo zinapendezea vitu fulani.... kiasi kwamba watengenezaji wanauza zaidi vya rangi hiyo...
Pikipiki - nyekundu nyeusi blue
Matank ya maji -nyeusi
Meza - brown
Friji - nyeupe nk
 
Nimegundua wanachama wa simba sc ni mambumbumbu
 
masopakyindi majibu sahihi ni haya ya adolay
labda kwa kuongezea :
  • Rangi ya Silver au Metalic ni kwamba haithiriwi na jua hasa kwa nchi zetu za Tropic kwani haikisi sana na hivo haipauki na puti kuchanika
  • siku hizi magari mengi rangi zao huwa zinachanganya na michanganyiko mingi na hasa ukiisogelea utadhani ni chembeche,be hizi husaidia rangi hiyo kudumu bila kupauka au kukakamaa au kuwa na mawimbi km kuumuka
  • Rangi hiyo hata jua liwakeje haiumizi machoni (km vile nyeupe) kwa anayekufuata nyuma au kupishana na inaonekana usiku kuliko nyeusi
  • ni rangi inayoweza kudumu hata zaidi ya miaka 10 kulikorangi zilizobaki km kijani, nyekundu, Bluu, Pnk nk
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…