Kwa nini lundenda atumie jina la nchi kwa manufaa yake mwenyewe

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Hashim Lundenga na kampuni yake ya Lini anatumia Generic name la tanzania yeye na familia yake na bado tunampa bendera ya nchi kwa nini jamani wadanganyika?

Linoagency ni nini kwa watanzania, Miss Tanzania iko chini ya umbrela gani ya serikali au jamii ya kitanzania. Jina la nchi linatumika vibaya. Nipasheni wadanganyika
 


Yeye ni Mtanzania na ana haki ya kutumia jina la nchi kwa manufaa yake. Pili nikulize TFF iko chini ya mwamvuli gani wa serikali? Kuhusu jamii ya watanzania wanaoshiriki kwenye mashindano ni watanzania na wanaongia kutazama asilimia kubwa ni watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…