Kwa nini lundenda atumie jina la nchi kwa manufaa yake mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini lundenda atumie jina la nchi kwa manufaa yake mwenyewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by domokaya, Sep 30, 2010.

 1. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,112
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Hashim Lundenga na kampuni yake ya Lini anatumia Generic name la tanzania yeye na familia yake na bado tunampa bendera ya nchi kwa nini jamani wadanganyika?

  Linoagency ni nini kwa watanzania, Miss Tanzania iko chini ya umbrela gani ya serikali au jamii ya kitanzania. Jina la nchi linatumika vibaya. Nipasheni wadanganyika
   
 2. C

  CCM OYEE Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Yeye ni Mtanzania na ana haki ya kutumia jina la nchi kwa manufaa yake. Pili nikulize TFF iko chini ya mwamvuli gani wa serikali? Kuhusu jamii ya watanzania wanaoshiriki kwenye mashindano ni watanzania na wanaongia kutazama asilimia kubwa ni watanzania.
   
Loading...