Kwa nini Lowassa, Lissu na Mbowe wanaposema walishinda Uchaguzi mkuu 2015 hawachukuliwi hatua?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Ndugu zangu wa JF. Huwa najiuliza sana hivi ni kwanini hawa viongozi wa CDM wanaposema walishinda Uchaguzi 2015 huwa hawachukuliwi hatua yoyote. Huu si ni uchochezi???

Mikutano mingi hurudia na kusema walishinda uchaguzi. Lakini serkal haiwanyooshei hata kudole.

Kila pale lowasa anapoenda hujitamba kuwa yeye ndye alishinda uchaguzi. Serikali inamuogopa kwa nini huyu mtu? Wameanzisha serkal ya mafisadi ila mpaka sasa hajawai fikishwa mahkamani lakini walituambia kuwa ndye fisadi mkuu.
.
 
56f9b4c2571a5ed082e166729baf2c41.jpg
 
Kwa sababu hawako Ikulu na nchi na Dunia unajua Raisi wa JMTZ ni Pombe Magufuli hizo nyingine zote porojo tu!
 
Kwa maoni yangu hiyo ndio kesi ambayo Polisi wangeifuatilia na kuwa bize nayo lkn wame-mute.

Vv
 
Walishinda ubunge au Urais? Mbona CCM sana wabunge wengine sana sana. Na kama ni Urais bado wangekuwa Na shida sana. Sababu bunge lingekuwa Na wabunge wengine wa CCM
 
Ndugu zangu wa JF. Huwa najiuliza sana hivi ni kwanini hawa viongozi wa CDM wanaposema walishinda Uchaguzi 2015 huwa hawachukuliwi hatua yoyote. Huu si ni uchochezi???

Mikutano mingi hurudia na kusema walishinda uchaguzi. Lakini serkal haiwanyooshei hata kudole.

Kila pale lowasa anapoenda hujitamba kuwa yeye ndye alishinda uchaguzi. Serikali inamuogopa kwa nini huyu mtu? Wameanzisha serkal ya mafisadi ila mpaka sasa hajawai fikishwa mahkamani lakini walituambia kuwa ndye fisadi mkuu.
.
Mfa maji hutapatapa
 
Wanajua kuwa anasema ukweli!
 
Kwa sababu wanasema ukweli. Ukweli ambapo endapo watawakamata, itabidi wawapeleke mahakamani, ambako ukweli utajidhihirisha. Sasa Kina Sizonje hawako tayari kuadhirika.
 
Kama mtu kila siku unakutana nae anakwambia
Aisee ulimchukua mke wangu na wewe unajua kweli
ulimchukua mke wake,
Hamna namna inabidi unyamaze maana ukileta kidomo domo utaumia.
 
Walishinda ubunge au Urais? Mbona CCM sana wabunge wengine sana sana. Na kama ni Urais bado wangekuwa Na shida sana. Sababu bunge lingekuwa Na wabunge wengine wa CCM
Wangeenda tu fresh maana huyo ndo walimtaka wao hadi wakamuimbia pambio lile mzee mwinyi alikuwa anaimba bila kujua
 
Back
Top Bottom