Nimesikia watu zaidi ya wanne wanaosikitika kufariki kwa Kanumba, FINE!
Kilichonishangaza walikuwa wanathubutu kutaja jina msanii mwingine ambaye wanadhani angekufa badala yake,
Sasa mambo gani hayo