A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,191 Reaction score 320 Jan 29, 2012 #1 Kama kweli madaktari wanamsaada kwenye maswala ya utabibu kwa nini hospitali zinajengwa mochwari na zile ambazo hazina zinaandikiwa bajeti ili ziwe nazo? Madaktari wote waliogoma waende kule alikosema Mzee Malecela
Kama kweli madaktari wanamsaada kwenye maswala ya utabibu kwa nini hospitali zinajengwa mochwari na zile ambazo hazina zinaandikiwa bajeti ili ziwe nazo? Madaktari wote waliogoma waende kule alikosema Mzee Malecela
Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,343 Jan 29, 2012 #2 serikali inajua fika kuwa lazma watu wafe ndo maana kuna mochwari,pia kuna ajali n.k
D Dopas JF-Expert Member Joined Aug 14, 2010 Posts 1,151 Reaction score 392 Jan 29, 2012 #3 Non sense
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 538 Jan 29, 2012 #4 Ww ni mtu anayependa kujua.hongera sana. Mtu Akifa ina maana alichelewa matibabu au ugonjwa wake hautibiki au alipata ushauri m'baya Au tiseme uzembe.
Ww ni mtu anayependa kujua.hongera sana. Mtu Akifa ina maana alichelewa matibabu au ugonjwa wake hautibiki au alipata ushauri m'baya Au tiseme uzembe.