nyufa zinazo tokea kwenye jengo zipo za aina mbili .1 nyufa za kawaida hizi ni nyufa ndogo ndogo zinazosababishwa na jinsi tofali zilivyo jengwa (bonding) / resho ya kujengea na mitikisiko midogo midogo na hizi nyufa huwa hazifiki kwenye msingi. wala kwenda juu usawa wa beam nitaendelea..