Kwa nini ihungo isiwe chuo kikuu .

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,613
Reaction score
19,827
Mkoa wa kagera pamoja na kutoa wasomi wengi sana nchini hauna chuo chochote kikubwa cha serikali .secondary ya ihungo ambayo iliaribiwa na tetemeko mwaka 2016 imejengwa upya lakini ilivyojengwa bora ikabadirishwa matumizi ikawa chuo kikuu ambacho kitasaidia sana wakazi wa kagera kiuchumi na kusaidia kukuza mji wa bukoba ambao uliaribiwa na tetemeko na kuwa kama rambirambi kwa tetemeko kuliko high school ambayo haina manufaa kama chuo .ihungo yenyewe hii hapa
 
Kuweka chuo huko kwa sasa hatuna ratiba kwa serikali ya awamu hii,subirini serikali ya awamu ya 6,tuweke chuo huko,je tetemeko jingine likija tupate hasara?
never...
 
Wahaya Bhana, pamoja na kujisifia kusoma sana kumbe hamna chuo kikuu hadi leo????

By the way, siyo lazima kila mkoa kukawa na chuo kikuu, nyinyi endeleeni kupiga ma PHD huko Ulaya inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…