waachane mara ngapi?
hana ndoa nae. anaruhusiwa kuoana na yeyote
hivi ukiachana na mchumba wako/tena amekuacha ukitaka kufunga ndoa na mwingine lazima wa awali aidhinishe?
mwambie bana hakunaga kabisa .hizo zingekuwepo kuna ndoa ingefungwa kweli?hapo chacha...., kumbe jamaa ni sitaki nataka eeh, go ahead dada, funga ndoa na huyo wa sasa hatoweza kukuharibia. maana ndoa si mahari, kama kanisani kwetu (RC) cheti cha ndoa ndo kinaweza kusitisha harusi, wala si mahari au eti nilizaa naye. hakunaga hzo...
waongeekuhusu nini? Huyo mwanaume ana mwanamke ndani hata kama wangekuwa wana ndoaingevunjwa.wanaume wa tanzania ndivo walivo.shame on himndio kawaida ya baadhi ya wanaume, anakuacha ili aone unadorora lakini ukipata mwingine wa kukuthamini ndipo anajifanya anajua. He wants to eat his cake and still have it.
Kama walivyokushauri hapo juu, ilimradi hakuna cheti, ndoa yaweza kufungwa tu. Na ushauri mwingine; case hii mtafuteni mzee wa kanisa analoabudu huyo jamaa ili amwitishe na kuongea naye/nanyi.
Hakuna hoja ya mahari hapo kwani alitoa shilingi ngapi....? wait kwanza lakini ishu kama hizi huwa ni tata sana wakati mwingine huwa tunapenda kuonekana hatuna makosa..anyway nenda kwa wazazi wa huyo jamaa muwakabidhi hiyo mahari kwao wao watajua namna ya kumpa mtoto wao...tena hakikisheni mnatunza kumbukumbu za kikao
ndio kawaida ya baadhi ya wanaume, anakuacha ili aone unadorora lakini ukipata mwingine wa kukuthamini ndipo anajifanya anajua. He wants to eat his cake and still have it.
Kama walivyokushauri hapo juu, ilimradi hakuna cheti, ndoa yaweza kufungwa tu. Na ushauri mwingine; case hii mtafuteni mzee wa kanisa analoabudu huyo jamaa ili amwitishe na kuongea naye/nanyi.
mrudishieni mahaari yake kwa M-PESA kama hataki kuonana na nyie .............
MP