nyumba imekuwa na watu wengi sana-lazima kuwe na tofauti za kimawazo-then kama democracy hakuna-hata angefanyaje bado wananchi wangemkataaHelo wana jf,
hivi kwa nini walibya hawamtaki huyu raisi wakati amefanya makubwa?
Mfano;
1:anatoa elimu bure,tofauti na nchi nyingi za afrika
2:anatoa huduma ya afya bure,hii ni kitendawili kwa nchi nyingi afrika
3:ana wajengea nyumba wanaotaka kuoana,wenye miaka 21...
4:anatoa mshahara kwa wasio na kazi
5:anaendesha nchi kama nyumba yake,wanataka nini cha ziada? Au ni kusema hawajajua waafrika wenzao wanavyoteseka?
Ama hawajui viongozi wengi wa afrika ni mafisadi na watu wasio jali raia wa nchi wanazoziongoza? Ama hizi taarifa za vyombo vya habari ni za uongo,nawakilisha tujadili
Helo wana jf,

Umesema vyema lakini walipaswa kutumia njia nyingine tofauti na hiyo.
Inaelekea wanawaiga waarabu wenzao, mfano misri, lakini hali ya kisiasa miongoni mwa nchi za kiarabu ni tofauti. Mfano kwa nini hawakutumia viongozi wakuu wa umoja wa afrika ili wapeleke matakwa yao bila umwagaji wa damu au vyombo vingine ikishindikana ndo watumie njia mbadala?
Helo wana jf,
hivi kwa nini walibya hawamtaki huyu raisi wakati amefanya makubwa?
Mfano;
1:anatoa elimu bure,tofauti na nchi nyingi za afrika
2:anatoa huduma ya afya bure,hii ni kitendawili kwa nchi nyingi afrika
3:ana wajengea nyumba wanaotaka kuoana,wenye miaka 21...
4:anatoa mshahara kwa wasio na kazi
5:anaendesha nchi kama nyumba yake,wanataka nini cha ziada? Au ni kusema hawajajua waafrika wenzao wanavyoteseka?
Ama hawajui viongozi wengi wa afrika ni mafisadi na watu wasio jali raia wa nchi wanazoziongoza? Ama hizi taarifa za vyombo vya habari ni za uongo,nawakilisha tujadili
nafikiri hawamtaki tu,kwasababu hawamtaki.............
Hawana uhuru ndicho wanachotaka,uhuru ni muhimu kwa mwanadamu hata kama unalalia mandondoHelo wana jf,