Kwa nini hatubadiliki watanzania wenzangu?

Kwa nini hatubadiliki watanzania wenzangu?

sinyaG

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
26
Reaction score
3
mfano;
inapotokea tunaombwa kuchangia issue kama za harusi au sendoff mara nyingi huwa tunachangia kwa ushindani sana malaki kwa malaki,
sasa omba mchango kwa ajili ya matibabu au ada ya kulipia masomo utalijua jiji yaani HUTASOTA WEEEE hadi wafa au utafukuzwa shule .
TUBADILIKENIIII
 
Back
Top Bottom