Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
wimbi la maraisi waroho wa madaraka linazizidi kutanda barani Africa huku maraisi wengi wa Africa wakiishutumu ICC eti inafuata fuata maraiai weusi tuu. ingawa kuna demokrasia change barani Africa, lakini kuna baadhi ya maraisi hawataki kuachia madaraka hata kama wanshindwa kiharari. maraisi wengione hutaka kuongeza muda ili katiba iwaruhu kutwawala vipindi lukuki. Umoja wa nchi za Africa AU umakaa kimnyaa siku zote wakingojea kupeleka majeshi ya kulinda Amani katika nchi zenye migogoro ya kugombea madaraka kama ilivyo Burundi, Rwanda,Kongo ya zaire na kuingine barani Africa. hivi sasa kuna watu Zaidi ya arobaini na tano wamesisha poteza maisha hapo kinshansa kitu ambacho kisingetokea kama Raisi kabila angeheshimu katiba ya nchi.
Kwa nini AU isizitenge nchi wanachama ambazo maraisi wake hung'ang'ani kiti bila kuwapa na wengine haki ya kutawala? AU itasumbua nchi wanachama kupeleka majeshi ya kulinda Amani mpaka lini jamani?
Kwa nini AU isizitenge nchi wanachama ambazo maraisi wake hung'ang'ani kiti bila kuwapa na wengine haki ya kutawala? AU itasumbua nchi wanachama kupeleka majeshi ya kulinda Amani mpaka lini jamani?