Nakushauri ufikie Retaj Hotel. Bei ni kati ya USD 55 mpaka USD 80. Bargaining power itasaidia kupunguza. Usitegemee makubwa, ni pa kawaida sana na vitu vingi wanafungasha Kariakoo. Ukienda na ATC utaona Wakomoro wanavyofanya shopping Bongo. Kama unapenda maisha ya usiku ukifika wenyeji watakupeleka, ila unashauriwa ule hotelini zaidi. Lugha kubwa ni Kikomoro na Kifaransa. Pia Kiingereza na Kiswahili kidogo. Utamaduni haupishani sana na Zanzibar.