ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 546
Simba tualinza vzr lakn mwishoni mwa raundi ya kwanza tukaanza kuharibu.
Ile kasi ya mwanzo sasa sioni tena.
Kwenye kombe la mapinduzi tualianza vizuri lkn baadae tukaanza kuchechemea.
Niseme kweli hata kumtoa yanga tulibahatisha tu.
Tumeingia fainali tumeambulia kipigo toka kwa azam.
Tumecheza ligi kuu na mtibwa tumeishia kutoa draw.
Kwanini tunapoteza pumvi hivi?
Kama shabiki na mpenzi wa mnyama naomba kujuzwa tatizo liko wapi?