🤣🤣🤣Umepotea jukwaaChadema hovyo sana wale bawacha sijui walifikiri nini kichwani kumtikisa mruto
Mbona kama hujatoa ushauri kwa mada husikaChadema hovyo sana wale bawacha sijui walifikiri nini kichwani kumtikisa mruto
Ametoka kuamkaMbona kama hujatoa ushauri kwa mada husika
binafsi nilishapitia hiyo hali. lakin iko under control.Na ndo ninachokiona mkuu..
Daah vijana mnatuharibia!!!Ni kawaida sana Wala huna tatizo
Mfano mimi nikashamfunua hata mara moja akiniletea madoido kiburi
Napiga chini
Ma bwamdogo wanafungua codeDaah vijana mnatuharibia!!!
Haya mambo ni yakuzungumza kweny vikao vyetu wanaume!!!
We unayaweka hadharan!!! Unawapa wakat mgum wanaoenda baada yako: