Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,110
- 26,997
Habri zenu wadau
Mimi nimekuja hapa kutokana na hii tabia ambayo nimekuwa nayo miaka ya karibuni na naona inazidi kukita mizizi.
Kifupi ni kwamba siwezi kabisa kubembeleza mwanamke, yaan akisema hataki namjibu okay, then nafuta sms dialled calls na namba habari inakuwa imeishia hapo.
Nikimpigia mdada mara mbili asipokee na nikatuma sms asijibu basi ni fasta nafuta kila kitu. Shortly huwa napata shida kubembeleza mtu alafu mwisho wa siku bado nimpe hela.
Yaan eti nikomae ili mifuko yangu itoboke dah nashindwa kabisa . Leo nikakaa nikawaza kweli na hii trend nitatoboa kweli, kuna kupata mke kweli? Maana umri nao unakimbia 35 nafikisha miezi michache ijayo.
Huwa natamani nibadilike ila nikikumbuka kipindi cha nyuma nilivyokuwa napambana kupambania mapenzi naona ni ubatili mtupu.