Kwa Mwendo huu Inawezekana Katiba Mpya Ikapatikana baada ya 2015

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Nina mashaka sana na jinsi ambavyo serikali hii inashughulikia suala la katiba mpya, waziri wa katiba baadala ya kuchukua kama changamoto hotuba iliyowasilishwa na waziri kivuli juu ya muswaada wa katiba yeye anaendekeza mipasho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…