Unamiliki kitu gani mjini?Kama upo tayari njoo tujenge family .
Nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mke,
Uwe Na miaka 28-32 uwe free unayejitegemea,
Kama Una mtoto si mbaya ila usiwe Na mawasiliano Na mzazi mwenzako tutakapokuwa pamoja Kama Ni mtoto nitalea,
Mimi Ni baba wa watoto wawili ila wapo nje ya nchi Na mama yao upweke umenizidi.
Kwa kufahamiana zaidi pm
Umri wangu Ni (36)
Unamiliki kitu gani mjini?
[emoji15] [emoji15] si pipe hii hapa chini[emoji6] [emoji6]Unamiliki kitu gani mjini?
Mchepuko unatafutwa live live...!
Pipe hata mmbwaa anayo. Jipangee upya. Shida peleka kwenu kwake matumizi tu[emoji15] [emoji15] si pipe hii hapa chini[emoji6] [emoji6]
umeachana na mke wako?🙂
Yaani asiwe na mawasiliano na mzazi mwenzie?? Nakushauri kama hutaki awe na mawasiliano na mzazi mwenzake basi achana na mwenye mtoto!Kama upo tayari njoo tujenge family .
Nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mke,
Uwe Na miaka 28-32 uwe free unayejitegemea,
Kama Una mtoto si mbaya ila usiwe Na mawasiliano Na mzazi mwenzako tutakapokuwa pamoja Kama Ni mtoto nitalea,
Mimi Ni baba wa watoto wawili ila wapo nje ya nchi Na mama yao upweke umenizidi.
Kwa kufahamiana zaidi pm
Umri wangu Ni (36)
Ni Pm mwayaKama upo tayari njoo tujenge family .
Nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mke,
Uwe Na miaka 28-32 uwe free unayejitegemea,
Kama Una mtoto si mbaya ila usiwe Na mawasiliano Na mzazi mwenzako tutakapokuwa pamoja Kama Ni mtoto nitalea,
Mimi Ni baba wa watoto wawili ila wapo nje ya nchi Na mama yao upweke umenizidi.
Kwa kufahamiana zaidi pm
Umri wangu Ni (36)
ah ah ah ah ah ah ah ah ah[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] mbav zangu jamanUnamiliki kitu gani mjini?
Huo mshahara Labda wa mlinzi mkuu cyo wa mwlNI PM MKUU ILA MSHAHARA WANGU 250,000 MI MWALIMU WA PRIMARY DAR NINA KITANDA TU NA FRIJI
kigezo cha umri sina😀Sikuwah kufunga naye ndoa,
Naye alikuwa Ana malengo yake ndiyo mana hatupo pamoja!
NDO NIMEANZAHuo mshahara Labda wa mlinzi mkuu cyo wa mwl
NI PM MKUU ILA MSHAHARA WANGU 250,000 MI MWALIMU WA PRIMARY DAR NINA KITANDA TU NA FRIJI
Ata ukianza ni zaidiNDO NIMEANZA
kigezo cha umri sina😀