Kwa mtu aliyerisiti zaidi ya mara tatu na akapata credit anaruhusiwa kuingia advance

Jan 24, 2017
10
0
Wapendwa ndugu mfano mtu kamalizaa labda 2006 form four akapumzika akaristi akapata C Tenaa akapumzika Akala C akakaa mpka 2016 akaresit tena akala C yatatu ila kombi haija kaa sawa, je anaweza akaingia advance au mda umekwishaa kwake kuingiaa advace
 
Ufafanuzi school candidate ni yule mtu anaesoma shuleni na shule iwe imesajiliwa na wizara ya elimu iwe private au government wote wanatumia S kwenye registration namba za mitihani, private candidate ni yule mwanafunzi ambae hasomi shuleni anajisajiri mtihani mwenyewe baraza la mitihani na registration namba inaanza na P ivyo kwa o level au advance ukisoma private au goverment school wote ni school cadidante uwe umerisit o level au haujarisit ukisoma advance private school unatumia S ila ukitaka shart la kusoma advance ni uwe na C kuanzia tatu tu
 
Unaelewa kweli maana ya private candidate , private candidate ni mtahiniwa binafsi uyo akienda shule za private kusoma advance anafanya mtihani kama school candidate[/QUOTE ipo hivi kwa kukusaidia... Ili mtu aweze ku qualify kusoma adv ni lazima awe under 23 yrs old.. Sasa mtu kamaliza fm 4 mwaka 2006 how old is he now?
 
Unaelewa kweli maana ya private candidate , private candidate ni mtahiniwa binafsi uyo akienda shule za private kusoma advance anafanya mtihani kama school candidate
Umalize 2006 then usome school candidate 2017.?..sheria ya necta inasema.. Ili mtu aweze ku qualify kusoma adv ni lazima awe under 23 yrs old
 
Ufafanuzi school candidate ni yule mtu anaesoma shuleni na shule iwe imesajiliwa na wizara ya elimu iwe private au government wote wanatumia S kwenye registration namba za mitihani, private candidate ni yule mwanafunzi ambae hasomi shuleni anajisajiri mtihani mwenyewe baraza la mitihani na registration namba inaanza na P ivyo kwa o level au advance ukisoma private au goverment school wote ni school cadidante uwe umerisit o level au haujarisit ukisoma advance private school unatumia S ila ukitaka shart la kusoma advance ni uwe na C kuanzia tatu tu
Ni kweli... What about age limit.??
 
Ni kweli... What about age limit.??
Mi nimesoma advance private nimeanza na miaka 25 sijaona kigezo cha miaka labda kwenye shule za selekali au tuwekee iyo sheria inawezekana imeanzishwa ivi karibuni maana condition ni izi hapa chini
Screenshot_20170212-143230.png
 
Unaelewa kweli maana ya private candidate , private candidate ni mtahiniwa binafsi uyo akienda shule za private kusoma advance anafanya mtihani kama school candidate
Mfumo umebadilika wewe acha kumfanya mwenzio chizi hapo .huyu direct ni private atakama umemaliza Leo ila combination azijakaa sawa ni private tu
 
Kaeleza kabisa hapo juu combination azijakaa sawa .Sheria mpya ya necta ilioanza 2016 za kudahili zinamtaka school candidate awe na c tatu zenye masomo ya tahasusi au awe na division three .pia kwa private candidate awe na c 3 sisizo za masomo ya tahasusi .hii kitu imeanza form six 2016 me nilifanya kama school candidate ila wenzangu wengi walifanya kama private sana sana wale wa egm na PCB PCM .ila kama anasoma EGM au ECA au HGE hapo anatakiwa awe na C mbili tu za masomo ya tahasusi ila liwe moja la kusaport zifike 5
 
Ina maana mwenye CCDDD anaweza kwenda advance
 
Back
Top Bottom