Natafuta mchumba mungu akipenda awe mama watoto.
Sifa:awe na umri kuanzia miaka 20-25,na sifa za kike za kusisimua mwanaume.mengine tutaongea wenyewe.tuwasiliane 0715444439 na sms. Serious wadada.
Natafuta mchumba mungu akipenda awe mama watoto.
Sifa:awe na umri kuanzia miaka 20-25,na sifa za kike za kusisimua mwanaume.mengine tutaongea wenyewe.tuwasiliane 0715444439 na sms. Serious wadada.
Mimi nafikiri hii ni fursa ambayo JF inatakiwa iifanyie kazi kwa kuweka FORUM mahsusi ya wanaotafuta wachumba badala ya kuwazodoa watu wenye mahitaji hayo. Si dhambi watu kujuana kupitia mitandao na hatimaye kuwa na mahusiano ya kudumu kama Mme na Mke. Hasa kwa maisha ya siku hizi ya mijini ambapo kadri maendeleo ya teknolojia yanavyoongezeka yanasababisha maingiliano ya ana kwa au ya mtu na mtu kupungua na yale ya mtu na keyboard au na mashine kuongezeka kuongezeka , na Forum itengenezwe ambapo vigezo na masharti vitazingatiwa bila kuathiri heshima na utu wa wenye mahitaji hayo.
kebby Roggers = Roggers~Rajabu
Kembamba~Kebby »Mkuu nenda mlimani city kuna watoto kibao pendelea kwenda samaki samaki piga pamba vaa kama kabo snoop utawapata masister doo wakare sana pia usisahau kupiga miwani mikubwaaa!