Kwa mnaotumia hizi feni za kisasa zina tofauti gani na hizo tunazotumia?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,580
4,634
Zinaitwa Fan tower nimeziona zikitangazwa mahali sijawahi kuzitumia na unajua ukiuliza wauzaji wataongeza chumvi kusudi wauze bidhaa maana kila mtu anapenda kuungishwa

Ndo maana nikaona nije kuuliza humu jukwaani juu ya hizi

Jee ubora ukoje?

Jee ni cooling kama AIC?

Kuna watu wanadiriki kuziita eti mini AC

Vipi ubora?

Jee ufanyaji wake wa kazi upoje kulinganisha na hizi tulizozoea?
FB_IMG_15957930769783255.jpeg
FB_IMG_15957931407844397.jpeg
FB_IMG_15957930185380060.jpeg
 
Back
Top Bottom