WanaJf nawasalimu,
Taarifa ya juzi kwamba kwenye ofisi ya Mkemia Mkuu kumevunjwa na kuibiwa, imenifanya niwe na maswali hasa ukizingatia ni kwa mara ya tano kwa vipindi tofauti,
-Hao wezi hawana sehemu nyingine ya kuiba ni hapo tu?
-Hakuna ulinzi wowote eneo hilo?
-Jitihada gani zimefanywa kuanzisha ulinzi thabiti baada ya matukio yaliyotangulia?