Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,414
Mkuu samahani unaweza nipa mfano wa akili sana ya aliesoma na asiesoma hapa kwetu. Mambo gani wamefanya wasiosoma yanayothibitisha kauli yako?Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?
Hivii hapa TZ walioenda kusona Harvard wameleta maajabu gani? Mnijulishe jamani.Wakuu
Hapa najiuliza maswali kwa mfano mwamba mwenye kiburi cha elimu angepata bahati ya kupita harvad ingekuaje?
Au elimu yake ingesaidia kugundua mfumo wowote hata wa kodi kwenye nchi hii hali ingekua vipi?
Yaani achana na hizi elimu za hapa kwetu kijijini ambazo kiukweli tofauti ya msomi na asiesoma wala haipo tena muda mwingine asiesoma anaakili sana kuliko aliesoma!
Sasa muulize elimu yake hiyo ya kukariri ina impact gani kwenye hiki kijiji chetu utakuta vichekesho sana hata kule mtaani kwao haijafanya lolote la maana, yaani hata wanafamilia wake tu hawajauacha umaskini.
Nawaza angepita alipopita Obama, Chenge, ingekuaje?
Usiiamini sana hiyo sentensi.Kuna wajanja huitumia kujificha nyuma ya ndoo.Akili kubwa hujadili mada, akili ndogo hujadili watu
Angekutana na Wakonongo wangemnyoosha.Angekunya kutoka havadi hadi itamba..💩
Aliemteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia kifo cha Dr. Augustino Mahiga ni nani?Siyo Magu.
Akili kubwa hujadili mada, akili ndogo hujadili watu
Magu naye aliingia mkenge japo alikuja shtuka baadae. Unajua kipaji kimoja alichonacho Nchembe ni kunyenyekea kwa unafki. Jamaa anajua kweli kweli kusoma marais na kuwanyenyekea kama mtumwa. Huyu hata haiba yake ni kama wale manamba viongozi wakata mkonge. Ana tabia za kimanamba-manamba kweli kweli.Magu alikuwa sahihi kumuweka jamaa bench.
Iyo wizara ilikuwa na maana gani kwa Madillu?, unakurupuka tu kengele wewe.Aliemteua kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia kifo cha Dr. Augustino Mahiga ni nani?
Usiwe unabisha vitu usivyokuwa na uhakika navyo.
Ndiyo amuambie mama umepatia sana kunipa hii wizara, huyo madellu anajipendekeza kishamba sana.Magu naye aliingia mkenge japo alikuja shtuka baadae. Unajua kipaji kimoja alichonacho Nchembe ni kunyenyekea kwa unafki. Jamaa anajua kweli kweli kusoma marais na kuwanyenyekea kama mtumwa. Huyu hata haiba yake ni kama wale manamba viongozi wakata mkonge. Ana tabia za kimanamba-manamba kweli kweli.
Aliyemrudisha alikuwa nani kama sio Mwendazake? Ukweli unabakia pale pale,pamoja na shida zake binafsi kama za Mwendazake ila Bado ndio Senior na anaaminiwa.Magu alikuwa sahihi kumuweka jamaa bench.