Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Ina maana chuoni hakuna,mtaani hakuna,kijijini kwenu,hata sokoni hakuna wananwake wa kukupa faraja? Au kwa sababuvya udomo zege wako.baki hivyo hivyo hakuna mwanamke atakaye ku pm na utaishia kuooga puli.chengukia uwanja wa fisi utaugua mshipa ngili wewe

Sa wa huko mtaani si ndio tuko huku Jf,
Mtoa mada natuma applikesheni yangu Pm
Mapenzi yana wenyewe.mi sa hivi mtu ukiniambia nakupenda naona kama unanitukana ninavoyachukia haya mahusiano.maumivu yake bora mtu uwe single uwe happy
.tatizo HUNABAHATI