KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa
EL ni mbadala
elimu ya uraia ndo dawa pekee juu ya madudu haya yanayoendelea
Umesema kweli Pasco, ila ninaomba nitoe mfano mdogo ambao untanisaidia kujenga hoja yangu:Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.
Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.
Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.
Inaonesha umedhamiria kuongeza idadi ya post zako humu JF hata kama ni kwa kuandika utumbo,kila la kheri mkuu!Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa
Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.
Umesema kweli Pasco, ila ninaomba nitoe mfano mdogo ambao untanisaidia kujenga hoja yangu:
Mdogo wangu mmoja alikuwa anzungumza na baba yetu mzazi kuhusu jambo fulani. Mdogo wangu aliulizwa na baba, akasema hivi kama umemaliza siku tano bila ya kupata chakula na siku ya sita ghafla ukakutana na mtu akakwambia kati ya mkate huu na kipande hiki cha dhahabu unachagua nini, na nikupe sasa hivi! Mdogo wangu akajibu, bila shaka dhahabu! Baba akamwambia sio kweli kwa maana sheria ya uhai inapingana na majibu yako. Utachagua mkate kwa maana kwa wakati huo mkate una maana sana kwa maisha yako.
Sisi tunaosema kuwa watanzania ni wajinga hatuwatendei haki, wanajua kilichobora kwa wakati husika. Viogozi wengi wamewadanganya watu kwa muda mrefu sasa, kiasi kwamba watu hawana uwezo wa nani mkweli na nani mwizi wao! Wote wanafanana. Wale wote unaowaona wanachagua upinzani, wana mkate tayari,wanayo karo za kuwalipia wanao katika shule bora kabisa na wanayoelimu bora ukilinganisha na wale wanao waunga mkono CCM.
Ukienda vijijini unakuta mtu anaenda hospitali na kapero na T shati ya CCM ambayo sasa imeishapoteza rangi na sasa hivi inamatobo kibao. Ukweli ni kwamba zile kapero na Tshart zilizotolewa wakati wa uchaguzi ndizo hizo wanazozitumia katika maisha yao ya kawaida. Na wengine ni za kutokea. Wewe angalia ziara za kawaida za viongozi wa chama na serikali, wakati viongozi wamevalia suti zao za mtoko wao waevalia Tsharti za CCM au kanga ya CCM. Na ndio maana T-shart zinatengenezwa kila mwaka wa uchaguzi. Mpokeaji wake anyeivaa mpaka inachanika hauwezi ukasema ni mjinga, huyu ni maskini hohe hae.
Tuachane na lugha za ulaghai kwamba ukichagua CDM/CUF/TLP/NCCR utapata maendeleo! Ukisha .....
Nimekubali sana hoja yako mkuu Mechard.
ACHA KUTUMIA ****** KUFIKILI WE JUHA MKUBWA PIA MNAFIKI MKUBWA WEWE, IVI VURUGU ZA IRINGA NA IKAPELEKEA KIFO CHA MWANGOSI WAANZILISH NI AKINA NANI? PIA MOROGORO NI NANI ALOANZISHA ZILE VURUGU? SHAURI YAKO ENDELEA KUYATUMIA MAKALIO KUFIKILI V SOON UTALAMBA MAVI MNAFIKI MKUBWA WEWe
Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.
elimu ya uraia ndo dawa pekee juu ya madudu haya yanayoendelea
Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa
You can buy some people sometimes but you can not buy all the people all the time. The bigest man you had ever seen was once a babyUchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.
Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.
Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.
Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.
Tatizo kubwa wal siyo sbabu ya CCM kupendwa au CHADEMA kuchukiwa,tatizo ni rushwa ilyo kidhiri.Kukiwa kweli kuna uchaguzi wa haki na TUME yetu ya uchaguzi itatenda haki na daftari la wapiga kura litakuwa linaboreshwa kila wakati kama siyo kila siku ,nin uhakika CCM kushinda itakuwa ngumu.Cha msingi watanzania tukazanie kupatiwa TUME huru ya UCHAGUzI na daftari la wapiga kura lifanyiwe marekebisho kila wakati na ikibidi liwe web yao ili kila mtu awe na uwezo wa kujua jina lake kama kweli ameandikishwa mahali sahihi na lipo sahihi.
Na marehemu wote wameondolewa na wale ambao hawakuwapo kwenye daftari hili kwa visingizio mbali mbali vya kupoteza vitambulisho,kuchelewa kujiandikisha,waliofikisha umri wa kupiga kura n.k waingizwe kwenye daftari kila mara.
Kuwepo na ofisi za kudumu za Tume hii ili kila mtu awe na haki ya msingi kwenda na kuhakiki kitambulisho chake bila bughudha wala upendeleo.
Tuache siasa za chuki na siasa za ugomvi.Tume iweke kwamba mtanzania yoyote anauwezo wa kupiga kura mahali popote ili mradi anatoa taarifa kwenye ofisi ya tume iliyo karibu kama masaa ishirini na nne kabla ya muda wa kupiga kura.
Tupo kwenye wakati wa technolojia ya kisasa tuende kisasa zaidi.