Tarehe 19/07/2015 Nilirejesha fomu ya kukiomba chama changu ridhaa ya kupeperusha bendera.Nafasi ya UBUNGE SIHA
Tarehe 25/07/2015
Nilikubali busara za wazee wangu wa chama na jamii kwa ujumla na kunisiii sana,Haikuwa rahisi kuwakubalia ilikuwa kazi ngumu kama vile kumpokea Lowasa ndani ya Ukawa.
Kama Dr. wilbroad slaa kukublai ujio wa Lowasa.
Nilijiuliza mwaswali mengi sana kwa wale wote waliokuwa na imani na mimi,
Wengi wanatambua mchango wangu
Wengi wanatambua wiimara wangu katika kukijenga chama,
Nilifika kila kijiji kukijenga chama kwa wakati huo ni CHADEMA NI MSINGI.Niliwanadi wagombea na wakashinda
Niliifanikiwa kumpata kada wa CCM Dr Mollel aliejiunga na jeshi la Ukombozi,2012
25/07/2015 Najiondoa kwenye uchaguzi huo kwa maslahi mapana ya Chama.
Namshukuru Mungu walinielewa wajumbe walinikubalia na Mwisho wakaamuwa kwa Maslahi ya Chama kwa Ujumla.
Nawapongeza walewote walioshiriki katika kuonyesha demokrasia.
Jina Kura
Eng Humphery Tunni 1
Aminiel Oisso 1
Elvis Mossi 35
Dr Mollel. 148
SARO AJITOA
16.08.2014 Nilipo kabidhiwa cheti cha kuijnga chadema ni msingi vyema niliwaahidi wanasiha,kuhakikisha jimbo linakuwa kwenye mikono salama.2015
Na sasa jimbo tunakwenda kushinda,
Nampongeza Kaka yangu Oisso Katibu wangu,Mossi kijana mwezangu,Mzee wangu Tunni Dada Riwa kwa ushirikiano wenu katika kukijenga chama,wanachama wote na wadau kwa ujumla nawashukuru.
Nampongeza Dr Mollel kwa ushindi alioupata najivunia kuwa nae katika kukijenga chama,Mwaka 2012 namkabidhi kadi ya CHADEMA na kurejesha ya CCM.Ilikuwa ni hatua kubwa kwa siasa za Siha ni kama Mbowe kumkabidhi Lowasa kadi
Ushidi wake umeipeleka CCM ICU
Hongera Mwanadada Witness Nerei Riwa Kwa kushinda kwa kishondo katika BAWACHA Imani waliyoionyesha kwako usiwaangushe kabisa,
2015 SIHA CHINA YA CHADEMA.
KATA 17 ZOTE CHINA YA CHADEMA
ASANTE MUNGU ASANTE WANA SIHA.
TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.;.''safari ina uhakika siku zote:'.