Kwa mara ya kwanza Tanzania kuwekwa katika M-bet Nimemwekea na dau Tanzania ashinde Nasubiri Mpunga tu

Drax001

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
439
221
UKIINGIA M-BET] SASAHIVI UTAKUTANA NA MECHI YA ALGERIA vs TANZANIA
sasa ipo hivi!
ALGERIA win 1.17
Droo 6.00
TANZANIA win 11.50
Tanzania akishinda napokea 1,000,00 laki moja tz!!
 
UKIINGIAIplay8Casino FAQ]M-BET] SASAHIVI UTAKUTANA NA MECHI YA ALGERIA vs TANZANIA
sasa ipo hivi!
ALGERIA win 1.17 Droo 6.00 TANZANIA win 11.50 Tanzania akishinda napokea 1,000,00 laki moja *****! tz!!
Kwaniaba ya Mbet, tunashkuru kwa kutuchangia, tz akimfunga Algeria, nitaamini kuwa mpira unadunda, umeweka kiasi gani?
 
ILA JANA MI NILIOTA NI 2-2 NIKASHANGAA NDOTONI HUKOHUKO

NILIVYOAMKA NIKAJISONYA

HALAFU HIYO 1.17 UTAWEKA SH NGAPI ILI ULE HELA NYINGI?

MKUU HANDCAP WINS POINT NGAPI NIWEKE HATA M. 2
 
Hiyo game mi naweka droo nile 60,000 kwa elfu 10.Tanzania haiwezi kushinda match hiyo napia mkeka mwingine nitaweka 10elfu kwa algeria kushinda.
Kimsingi Algeria wanataka kupanda viwango kupitia mgongo wa Tanzania na wanajua Tanzania hawawezi kushinda.
 
Back
Top Bottom