King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,395
- 99,261
Point gani na pumba zake za ripoti ya redet, hana lolote ,, huenda posho imechelewa mwezi huu kwa hiyo imebidi aume ili ije haraka ( Wasomi ni chakula cha wanasiasa)
Point gani na pumba zake za ripoti ya redet, hana lolote ,, huenda posho imechelewa mwezi huu kwa hiyo imebidi aume ili ije haraka ( Wasomi ni chakula cha wanasiasa)
hivi hapa tanzania ni dr. Bana aka mchumia tumbo ndiye mchambuzi wa siasa?why tbc1,uhuru,daily news,habari leo?mbona uchambuzi wake siku zote haufanani na title yake dr....?
Ndoto zake ni kuwa mukanda part ii......hatangoja kama wafuasi wa kibwetere
hana lolote , hata kichaa dakika chache anaweza ongea point haiondoi uchiz wake!
Huyo ni mchumia tumbo Tu hayo kauli haijambadilisha!
labda kawa lulu kwako,mimi sina lolote la kujivunia linalotoka kinywani mwa huyu mlamba miguuJuzi kati hakuna aliyekuwa anamsikiliza Bana lakini leo kwa maneno hayo machache amekuwa Lulu
Tungoje wiki ijayo atakapokuja kivingine.
Juzi kati hakuna aliyekuwa anamsikiliza Bana lakini leo kwa maneno hayo machache amekuwa Lulu
Lulu yupi ? Atakuwaje Lulu ilihali yeye ni mwanaume !!!!
Wewe mama Kumbe jina lingine la dr bana ni lulu tunashukuru sana kwa kutufahamishaJuzi kati hakuna aliyekuwa anamsikiliza Bana lakini leo kwa maneno hayo machache amekuwa Lulu
Tungoje wiki ijayo atakapokuja kivingine.